About KRT
Kanisa la uamsho lenye maono ya kugusa maisha
Tunaamini katika ibada ya kweli, neno la Mungu, maombi na kujenga jamii yenye upendo na matumaini.
3
Active members across ministries
2
Ministries serving different groups
1
Upcoming events on the calendar
Mission
Mwelekeo wetu
Kumleta mtu karibu na Mungu kupitia ibada, neno, maombi na huduma kwa jamii.
Vision
Maono yetu
Kuona maisha yamebadilishwa, familia zikiimarishwa na jamii ikiguswa na nguvu ya Mungu.